Isaiah 34:16

16 aAngalieni katika gombo la Bwana na msome: Hakuna hata mmoja katika hawa atakayekosekana,
hakuna hata mmoja atakayemkosa mwenzi wake.
Kwa kuwa ni kinywa chake Mungu kimeagiza,
na Roho wake atawakusanya pamoja.
Copyright information for SwhKC